John 9:22

22 aWazazi wake walisema hivi kwa sababu waliwaogopa Wayahudi kwani walikuwa wamekubaliana kuwa mtu yeyote atakayemkiri Yesu kuwa ndiye Kristo
Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
atafukuzwa kutoka sinagogi.
Copyright information for SwhNEN